JINSI YA KUTENGEZEZA BLOG NA KUJIPATIA KIPATO
JE? Unahitaji kujifunza njia rahisi na halaka ya kufumgua blog mtandaoni na kuaanza kujipatia kipato
Am EMILIAN nimekua na uzoefu mkubwa katika matumizi ya mtandao na kuweza kufungua account kazaa za youtube channel na kupata kipato lakini pia kufungua blog zangu mwenyewe ikiwemo hii.
Fuatilia hatua chache zifuatazo ili uweze kujua jini ya kufungua blog yako kwa dakika zisizo zidi 20
HATUA ZA KUFANYA
1. chagua jina la blog ( liwe la kuvutia)
2.sajili blog yako mtangaoni
3.peleka blog yako kwene mauzo(chagua free templete)
4.chapisha chapisho lako la kwanza (post ya kukalibisha)
5. tangaza blog yako ifikie watu weng zaidi
6. chagua njia ya kujipatia kipato kwa blog
HATUA YA 1. JINA LA BLOG
Chagua jina la blog kulingana na vitu amabavyo unataka kupost yaani ukitaka kupost kuhusu siasa chagua jina kulingana na siasa, kuhusu michezo, kuhusu, elimu, kuhusu muziki, kuhusu kilimo, kuhusu ucheshi, kuhusu magari na pikpik na nk. basi jina liendane na maudhui ya blog yako hii itakufanya uapate wafuatiliaji wengi kwa haraka na wakudumu.
HATUA YA 2.USAJILI WA BLOG
Jisajili kupitia blog store yeyote mfano blogspot.com ni ni rahisi na halaka
Comments
Post a Comment