Posts

Showing posts from September, 2019

JINSI YA KUTENGEZEZA BLOG NA KUJIPATIA KIPATO

JE? Unahitaji kujifunza  njia rahisi na halaka ya kufumgua blog mtandaoni na kuaanza kujipatia kipato Am EMILIAN  nimekua na uzoefu  mkubwa katika matumizi ya mtandao na kuweza kufungua account kazaa za youtube channel na kupata kipato lakini pia kufungua blog zangu mwenyewe ikiwemo hii. Fuatilia hatua chache zifuatazo ili uweze kujua jini ya kufungua blog yako kwa dakika zisizo zidi 20 HATUA ZA KUFANYA 1. chagua jina la blog ( liwe la kuvutia) 2.sajili blog yako mtangaoni 3.peleka blog yako kwene mauzo(chagua free templete) 4.chapisha chapisho lako la kwanza (post ya kukalibisha) 5. tangaza blog yako ifikie watu weng zaidi 6. chagua njia ya kujipatia kipato kwa blog HATUA YA 1. JINA LA BLOG Chagua jina la blog kulingana na vitu amabavyo unataka kupost yaani ukitaka kupost kuhusu siasa chagua jina kulingana na siasa, kuhusu michezo, kuhusu, elimu, kuhusu muziki, kuhusu kilimo, kuhusu ucheshi, kuhusu magari na pikpik na nk. basi jina liendane na maudhui ya...

HIVI UNAJUA KAMA UZITO ULIOPITILIZA NI HATARI KWA AFYA TAKO??

Image
HIVI UNAJUA KAMA UZITO ULIOPITILIZA NI HATARI KWA AFYA TAKO?? Watu wengi wamekuwa wakihangaika kwenda Gyms,kufanya mazoezi na #DIET . Lakini pale wasimamapo tu hivyo vitu miili yao hurudi vilevile au zaidi kwa sababu wanashindwa kuendelea na hio lifestyle. @afyakona3 (Instagram page) tumekuletea Program nzuri itakusaidia Kupungua UZITO(kilos), TUMBO(kitambi) na NYAMA UZEMBE. Program yetu inaitwa Clean 9 (C9) ni Program ya siku 9 tu ambayo itakusaidia vitu vifuatao:- 1. Kuusafisha mwili yaani kutoa taka mwili zote 2. Kuyeyusha mafuta mabaya mwilini ambayo huwa yanapelekea nyama zembe pamoja na lehemu mbaya(bad cholesterols) 3. Kukusaidia kupunguza hamu ya kula kula ovyo. 4. Pia itakufanya uwe na nidhamu nzuri ya mazoez na ulaji wa vyakula. 5. Pia hii program sio dawa bali ni VIRUTUBISHO,kwa hiyo ni salama kwa afya zetu #. Free delivery and consultation (Tutakushauri na kukuelekeza jinsi ya kutumia. huduma yamawasilian...