JINSI YA KUTENGEZEZA BLOG NA KUJIPATIA KIPATO
JE? Unahitaji kujifunza njia rahisi na halaka ya kufumgua blog mtandaoni na kuaanza kujipatia kipato Am EMILIAN nimekua na uzoefu mkubwa katika matumizi ya mtandao na kuweza kufungua account kazaa za youtube channel na kupata kipato lakini pia kufungua blog zangu mwenyewe ikiwemo hii. Fuatilia hatua chache zifuatazo ili uweze kujua jini ya kufungua blog yako kwa dakika zisizo zidi 20 HATUA ZA KUFANYA 1. chagua jina la blog ( liwe la kuvutia) 2.sajili blog yako mtangaoni 3.peleka blog yako kwene mauzo(chagua free templete) 4.chapisha chapisho lako la kwanza (post ya kukalibisha) 5. tangaza blog yako ifikie watu weng zaidi 6. chagua njia ya kujipatia kipato kwa blog HATUA YA 1. JINA LA BLOG Chagua jina la blog kulingana na vitu amabavyo unataka kupost yaani ukitaka kupost kuhusu siasa chagua jina kulingana na siasa, kuhusu michezo, kuhusu, elimu, kuhusu muziki, kuhusu kilimo, kuhusu ucheshi, kuhusu magari na pikpik na nk. basi jina liendane na maudhui ya...