Posts

Showing posts from January, 2019

Karbu kwenye blog yetu mpya

Image
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa mwenyezi mungu wa uhai pia kwenu ninyi wasomaji wa blog yangu kwani mmenipa hamasa ya kufanya hili na blog hii nimeianzisha mausi kwaajili ya kushare notes za course mbali mbali apa duce na material (madesa) ndiyo maana blog yetu Inaitwa DESA LIBRARY